Mitumba Halisi

Pages

  • Home
  • Nguo zetu
  • Handbags/Pochi
  • Njia za Malipo
  • Mawasiliano
  • Mawazo yenu
  • Location
  • Place your order now

Shragz za kila rangi na patterns bei ni shillingi 18,000/=





Posted by Mitumba Halisi 0 comments
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

Nguo aina mbali mbali elfu 15,000 tu








Posted by Mitumba Halisi 0 comments
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

Blouse za wakina dada kwaajili ya kazini hata casual wear,,, Bei ni kuanzia 12,000 mpaka 15,000







Posted by Mitumba Halisi 2 comments
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

Miguu mipana suruale ..................


Posted by Mitumba Halisi 0 comments
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

Suruale miguu mipana zinapendeza mno kwa mdada yeyote mwembamba au mnene, na kwa wadada wenye mahips haswa hizi ndio suruale zenu, ukipiga na kiatu kirefu ,,aaah swafiii sanaaa


Posted by Mitumba Halisi 2 comments
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

Nguo hizo za wadada wanaokwenda na style za sasa , zinapatikana sasa mitumba halisi.

Posted by Mitumba Halisi 0 comments
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

Suruale Miguu mipana itaanza kupatikana muda si mrefu,,,kaa mkao wa kuvaa

Posted by Mitumba Halisi 0 comments
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

MITUMBA HALISI INARUDI KWA FUJO

Habari wateja, Duka lako la mitumba halisi linarudi kwa nguvu sana hapa hapa online , mzigo wa kufa mtu umetua kwaajili yako, usichoke kubofyoa humu kuangalia launch date (siku ya mauzo rasmi) ujiwahie nguo bei poa na za kisasa, Mwanamke usipendeze sababu zako za binafsi ila sio sababu huna hela , Nguo zinauzwa bei nzuriiii ,na sababu tunafahamu uchumi umekuwa mgumu tunahakikisha duka hili haliuzi nguo kitamaa kabisa
Posted by Mitumba Halisi 0 comments
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest
Newer Posts Older Posts Home
Subscribe to: Posts (Atom)

Mitumba Halisi
Dar es Salaam, Tanzania
Mitumba Halisi inapatikana Dar es salaam Tanzania Mitumba Halisi ni blog ya nguo za kuuza kwaajili ya kina dada na wamama wanaopenda kupendeza. Blog hii inakuletea nguo za kisasa za kila aina na za kila rika, Nguo za wadada kwaajili ya ofisini, kutokea usiku na hata kwaajili ya kuwa casual siku za weekend . Kupitia Blog hii utaweza kuziona nguo na kuagiza popote ulipo Tanzania. KARIBUNI WOTE
View my complete profile
Follow Mitumba Halisi

Daily reads

  • Lukaza
    Na Mwandishi Wetu, JAB WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa, amesema Serikali ya Awamu ya Sita imechukua hatua kadh...
    1 month ago
  • Homez Deco - Kreative Homez
    Wahi sasa....kwa bei ya 38,000.....mikoani tunatuma...0713920565....
    7 years ago
  • KIDS EVENTS : KIDS PARTIES
    USE THIS POST AS A LOOK-BOOK FOR OUR ITEMS WE HIRE: We have revolutionaries how to celebrate with kids: VARIOUS CASTLES ...
    8 years ago
  • Anitha's Closet
    You need this Kimono/ robe in your life! If you like spending the day in your pyjamas as much as I do, it's my recent obsession! Before I had the baby I kn...
    9 years ago
  • viatuzi
    9 years ago
  • The Sweet Escape Tz
    Follow us on Instagram @thesweetescapetz
    10 years ago

Mituba Halisi Archive

  • ►  2014 (14)
    • ►  September (1)
    • ►  March (4)
    • ►  February (9)
  • ►  2013 (102)
    • ►  December (1)
    • ►  November (13)
    • ►  October (6)
    • ►  September (2)
    • ►  August (1)
    • ►  July (2)
    • ►  June (3)
    • ►  May (22)
    • ►  April (12)
    • ►  March (17)
    • ►  February (14)
    • ►  January (9)
  • ►  2012 (365)
    • ►  December (7)
    • ►  September (7)
    • ►  August (16)
    • ►  July (21)
    • ►  June (29)
    • ►  May (55)
    • ►  April (22)
    • ►  March (45)
    • ►  February (60)
    • ►  January (103)
  • ▼  2011 (203)
    • ►  December (123)
    • ►  November (64)
    • ▼  October (8)
      • Shragz za kila rangi na patterns bei ni shillingi ...
      • Nguo aina mbali mbali elfu 15,000 tu
      • Blouse za wakina dada kwaajili ya kazini hata casu...
      • Miguu mipana suruale ..................
      • Suruale miguu mipana zinapendeza mno kwa mdada yey...
      • Nguo hizo za wadada wanaokwenda na style za sasa ,...
      • Suruale Miguu mipana itaanza kupatikana muda si mr...
      • MITUMBA HALISI INARUDI KWA FUJO
    • ►  January (8)
  • ►  2010 (26)
    • ►  December (9)
    • ►  November (17)
Simple theme. Powered by Blogger.