Suruale .............

Mitumba Halisi inawaletea patterned trousers ,,,,there is no such thing as too much polka dots or too much flowers,,,,,,being a woman is fun and flirty,,,,,enjoy for only 18,000/=  

6 comments:

Anonymous said...

mngekuwa mnazipiga pasi nguo zenu zingekuwa zina muonekano bora zaidi.
ni maoni tu..

Mitumba Halisi said...

Ushauri mzuri ila ukipiga pasi wateja wanalalamika , kwanza sababu tumepiga basi juu ya nguo chafu,,,kumbuka mtumba sio safi tayari kuvaa inakupasa kwenda kufua vizuri home, na pili wateja wanataka kujua kama mtumba kweli so kale kaharufu ka mtumba ukipasi kanapotea, halafu pia kuna bili za umeme,,,,,,

naombeni namba yenu au mko wapi?naihitaji nguo.

Mitumba Halisi said...

Number zetu zimeandika katika contact hapo juu