Vitenge

Thanks to Mange and Shamim, I like wearing kitenge siku hizi, I tell you ,kila mtu ananishangaa sababu I used to say ni vya kina mama zetu, how stupid of me, kumbe ni kuchagua mshono wa kisasa na kumuelekeza fundi, I can wear kitenge monday to friday siku hizi,nasahau hata mitumba yangu jamani ...........



2 comments:

mama kaitlyn said...

Niiiiice........ fundi wa wapi?

Mitumba Halisi said...

fundi mwenge tu hapo karibu na msikitini