watoto 14 kwa mama moja,,,,,duh

Jamani huyu mama ana watoto 14, and look at her, sisi tuna katoto kamoja, wengine ndio wasichana hata watoto bado hakuna ila,,, matumbo hapa mpaka mtwara, bado shavu, nonooooo, hips ndio usiseme, suruali hazitoshi,,,,,,,,,

Look at her, ila huyo Bonge ni hubby wake

Kwakweli ni mfano wa kuigwa, living healthy...........

No comments: