watoto wa wenzetu

Hivi wenzetu huko mamtoni wakijifungua hawakai ndani atleast il miezi 2 ya mwanzo?jamani ka baby haka si katafariki duni kwa kusindiliwa manguo hivi? Kah Byonce si umuache nyumbani basi au muweke katika vile vifari vya watoto ufunike na kitambaa?  mpaka nakaonea huruma,,lol

No comments: