jamani hizi ngozi zao tu,,,sisemei weupe ila u soft walionao ........au ni hali ya hewa???au picha tu ???


3 comments:

Anonymous said...

mambo mummy, the thing is wenzetu hawa wanatumia products orignal, na zinazoendana na ngozi zao, lakini pia hata hali ya hewa pia inachangia.

tujitahidi kutumia products ambazo ni orignal, na zinazoendana na ngozi zetu. kujichubua sio ndio eti unakua mzuri, waweza tumia tu products za kukufanya ngozi yako iwe soft na nzuri.

jaribu shear butter product and vasseline product. (kwa maelezo zaidi tuwasiliane) zimesaidia watu wengi homezdeco.blogspot.com

Anonymous said...

Ni hali ya hewa jamani, kama mimi nilvyokuwa bongo jua na vumbi la bongo lilikuwa linafanya ngozi yangu kuonekana mbaya yote ni jua na vumbi letu, sasa niko nje ya nchi na natumia tu lotion ile ile niliyokuwa natumia nyumbani coco butter na ngozi yangu imebadilika huku ni baridi na hakuna vumbi jingi, so kipindi cha baridi ndio ngozi inatakata zaidi.

Mitumba Halisi said...

kwakwel hiyo hali ya hewa inachangia sana,maana hata hapa tunapaka natural vitu ila dah, tunapaukaa hata ka mvutooooo.....