Fashion Alert!!!!!!!!! Nguo za Tie /dye





Mitumba Halisi inzao wewe tu kuzitaka,,angalia wenzetu wamepiga zao  Tie dye

3 comments:

Anonymous said...

zinapatikana wapi

Djimac said...

l

Mitumba Halisi said...

Hello, samahani kwa kuchelewa kujibu, hizi nguo ukipenda unanijulisha na zinaletwa mpaka utakapo wewe, mambo ya online shopping, si unajua sio kila mtu anaweza kwenda kutafuta nguo, wakati ukisikia uvivu na bado unataka ka nguo ka kurusha roho yako basi unajitafutia humu . Asahnte