Magauni ya kisasa ya Office kwa bei cheeeeee kuanzia 15,000/= mpaka 45,000/=, ushindwe wewe tu kupendeza

Gauni hilo size ni 12 ya USA , zuri sana kwaajili ya kazini ,kanisani, hata kama una sehemu muhimu, unavalia kiatu chekundu na ka clutch kekundu ,utanoga ile mbaya

No comments: