Plastic surgery gone wrong


Mama wa watu akiwa na nia ya kutengeneza sura yake na kuifanya iwe nadhifu na ya mvuto, ameishia kuonekana hivi. Nafikiri ifike wakati tijikubali Mungu alivyotuumba na hata mabadiliko yakitoke kama uzee na tuukubali pia, maana malipo ya plastic surgery gone wrong huwa irreversible,,,,sasa jamani hebu ona dada wa watu hiyo sura, namuonea huruma.
Swali la kizushi: Je is it worth it ? jiulize!!!!!!!!!!

No comments: