wateja wangu wangu wamekuwa wakiniuliza mzigo mpya narusha lini humu, maana sio kawaida yangu kula pozi kali namna , hii,
Well get ready, wiki ijao yote ni wiki la viwalo, nguo zitarushwa humu mpaka ushindwe wewe
kaa mkao wa kuvaa bila kikomo....................
Rangi zangu za kucha
Nina tatizo moja kubwa linanisumbua, nina rangi kibao za kucha ila huwaga sijui nizipange vipi, kwahiyo nwisho wake dressing table yangu inakuwaga vurugu tupu na naishia kuzitupa baada ya kutokuwa na mvuto mezani, After going through the website nikakutana na hii ,,,,,,,imenielimisha, thought I should share wenye tatizo kama langu, au wanaotaka simply to improve appearance ya dressing table zao......
Subscribe to:
Posts (Atom)











