haya yuko wapi fundi wangu anishonee na mimi sketi hiyo, maana hii inauzwa dola 140 najua shiffon blauzi nitapata mitumba halisi for 12,000/= Tsh.,,,,,mmmmh!!
Yes........ let the shoes do the talking
I love shoes to the very core of my everything,,, ingekuwa uwezo wangu I would have bought them all, ila Mungu kanipa uwezo wa kuangalia na kuridhika pia,,,ukiendekeza tamaa utaishia kuvaa viatu tu ukakosa maendeleo mengine, kila kitu kwa kiasi hapana zidisha......so kwa wale wenye uwezo kama wangu lets enjoy this view......xoxo
Doctor's Bag
So this is the hottest it now,,,, kama unajijua unaweza kukamatia chako,basi huu ndio wakati muafaka, ila kama unajijua una mizigo mingi, kama huku umebeba laptop,mara lunchbox,umemshika mtoto mkono nk. basi hiki kibegi kitakukera tu, maana kitakuwa kama kamzigo kingine mikononi mwako,ila maybe ukitumie weekend ukiwa hauna makorokoro mengi yanayokuhitaji kubeba na mikono,,,ila vina uzuri wake ,,so the choice is yours na mazingira yako
Subscribe to:
Posts (Atom)







